Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu kama solo Angel Bernard amekuja kivingine katika maadhi ya rumba ndani ya Collection ya "Sauti za Sifa".Nilipo kamata albam hii yenye nyimbo tisa ikiwa imewakutanisha Bahati Bukuku,Victor Aron,Angel Bernard,Dickson Griper,Modestar Mogan,Glory said Itozya,Aron botto na wengine.
Leo kama ilivyo siku zote katika siku ya ijumaa tunakuwa na jicho la blog na jicho letu lipo kwa Angel Bernard na "Tunae Baba"
Exclusive kwa hisani ya Chomoza sikiliza wimbo huu hapo chini "Tunae Baba"
shez gud n abarikiwe.
ReplyDelete