Kanisa La KKKT Usharika Wa Tabata Segerea Wanakusudia Kuandaa Tamasha Kubwa la aina yake litakalofanyika katika Ukumbi maarufu wa Diamond Jubilee siku ya tarehe 26 May, 2013 na tamasha hilo litaanza majira ya saa 9 Alasiri Mpaka saa 1 Usiku.
Blog hii kwa hisani ya Chomoza Ya Clouds Tv ilifanya mahojiano na Mchungaji wa Usharika, Mwenyekiti wa Maandalizi na Event Coordinator Mr. Emmanuel Kwayu Kwa ajili ya Kupata maelezo ya Kina Kuhusiana na Tamasha Hilo.Mchungaji Wa Usharika huo Mch. Noah Kipingu alieleza Blog hii kuwa Makusudi hasa ya Tamasha hilo ni Kukusanya Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Nyumba Ya Bwana Yenye Hadhi ya Kuheshimika kama ambavyo wanadamu wamekuwa wakijenga nyumba nzuri kwa ajili yao wenyewe.
Mr. Kwayu akiongea na Blog hii aliiambia kuwa Wanamuziki watakao kuwepo siku hiyo ni Solomon Mkubwa Kutoka Kenya, Joshua Mlelwa alimaarufu kama BAM BAM, Martha Mwaipaja, Kwaya Ya Lulu na Kwaya Wenyeji Ya Tabata Segerea. Kiingilio kwa ajili ya Tamasha hilo ni sh. 10,000 kwa 5000 tu.

0 comments: