Mr Noel Tenga.
Siku ya J/mosi Chomoza ilifunga safari hadi Mkuranga kwenye kituo cha watoto yatima kinacho hongozwa na Mkurungenzi Mr Hezekia Mwalugaja.Kituo hiki kina fahamika kama "H0CET" ni kituo cha kulea watoto yatima na wale waliotoka katika mazingira magumu. Kituo hiki kwa sasa kina watoto wanaoishi kituoni wapatao 110 ' pia kituo kina shule kuanzia primary hadi secondary. Kipindi cha chomoza cha Clouds Tv na na Mr Noell Tenga tulipata nafasi ya kwenda kuwatembea na hasa kutaka kujua matatizo wanayo kabiliana nayo kwa sasa mara baada ya wafadhili wao (WAZUNGU) kuacha kukifadhili kituo kwa sababu ya watoto kumtanguliza Mungu kwanza na wao walikua hawataki watu wanaomtaja Kristo.

Hapa tulikua tukijadili namna tutakavyo anza kusema na wahusika pia kufanya setting ya kipindi cha Chomoza
Sisi kama Chomoza ya Clouds Tv tunamshukuru mungu kwa jambo hili la sisi kua sehemu ya jamii,marafiki na hata ndugu katika kusimama na kuhakikisha tuna
weka alama katika ufalme wa Mungu na kwa jamiii ya hapa tanzania.
Mkurugenzi wa kitu hiki Mr Hezekia Mwalugaja akitupa ufanunuzi wa maendeleo ya kituo kwa sasa.
Niki angalia baadhi ya mifugo iliyopo kwa sasa katika kituo hiki.
Kituo kina mifugo pia ila inahitaji kuboreshwa kwa sasa na kuiongeza.
Hili ni shamba la hawa watoto lenye nyanya na mboga mbalimbali.
Maabara ya kituo
Chomoza ikianza kazi
Safari ya kurudi nyumbani,hapa tulikwama porini ikabidi nguvu kazi ya kusukuma itumike.Kutoka Dar es salamu hadi Mkuranga ni mwendo wa masaa 3 hadi 4 kwa gari.
Kulia ni Samuel sasali,Noell Tenga,James Temu na Camer man wetu Kuhani Haron.
0 comments: