Kiongozi wa Praise and Worship wa Kanisa la VCCT,Mpelo Yesayah kwa sasa yupo nchini Sweden kwa siku 10 akiongoza Praise and worship team ya S.O .S Band ya Pastor Johhaness.Leo kupitia ibada iliyokuwa Livestream hii ni sehemu ya kijana Mpelo akienda sawa na Praise team ya Pastor Johhaness.Tizama hapo chini mwana Chomoza.
0 comments: