Ikiwa leo ni siku ya Mama duniani muimbaji kutoka nchini Kenya Mbuvi ameachia video ya wimbo wake mpya aliyotoa kama dedication kwawa Mama wote Duniani.Video ya wimbo huu amemshirikisha muimbaji Emmy Kosgei na huu ni ujumbe wake kwa Mama yake mzazi (“There is no love like a mother’s love. I thank God for all
mothers and potential mothers, for without them, none of us would truly
be. Thank you LORD for my Momma Pamela Ndwale, and all the other mothers
you have given me the world over. We love because we have experienced a
mother’s touch of Love!”)na Mama wote duniani.
tizama video hii Exclusive Mwana Chomoza.
0 comments: