Kushoto ni mshenga wa bwana harusi mtarajiwa (Samuel Sasali) kulia ndiye mwenyekiti wa upande wa mke mtarajiwa Dr.Milembe.
Siku ya jana Samuel Sasali kati ya wanawake bilioni walioko duniani alimuona Dr.Milembe ndiye binti anaye mfaa katika maisha yake.Nitukio la pete ya chumba lililo fanyika nyumbani kwa familia ya Milembe.Sina maneno mengi sana Mwanachomoza picha zinajieleza.Kwa niaba ya Blog tunakutakia maisha mapya kuelekea kwenye ndoa tarehe 26/10/2013.
Milembe akitolewa ndani kuelekea eneo la tukio
Hapa akieleza jambo kabla ya tukio lakumvisha pete Milembe
Usifanye mchezo na "Usukani Wa Merikebu"
I love u..........
Jamani mmeona!!
Likafata tukio la keki.Kijana yuko vizuri
Mama mzazi wa Dr.Milembe akilishwa keki
Hawa ndio wa simamizi wa ndoa ya Samuel Sasali
Mr & Mrs Sasali
0 comments: