Hii ni Video mpya ya kwake Gloria Muliro yenye muonekano mzuri na utengenezaji bora.Natamani waimbaji wa Gospel Tanzania waige viwango hivi nasio kuchukua video camer za harusi nakuingia mtaani kufanya Record.Kama unampenda Mungu kwa nini ulipue kazi yake,sita acha kusema katika hili mpaka nione mabadiliko kwa waimbaji wa Tanzania.
Hii ni sehemu ya Chorus
“Nasonga mbele mimi sifi moyo ,yesu Ananipenda hataniachaaa
Nasonga mbele mimi sifi moyo Hakika najua atanijibu.”
Nasonga mbele mimi sifi moyo Hakika najua atanijibu.”
( I Am Moving Forward, I Am not giving up, as Jesus Loves Me And He Wont Leave Me)
0 comments: