Kwa wale mnaokumbuka uimbaji wa Jangalason huwezi kusahau vituko vyake anapokuwa jukwaani akiimba.Nilifikiri kwa sasa may be anaweza akawa amepunguza ndiyo kwanza alivunja mbavu watu.
Kwa haraka ukitizama picha hii unaweza kuwaza alikua akihubiri,la hasha hii ni stepu ya "Dungwa Sindano".
Pastor David Nkone akifanya kweli.
Jina la Yesu akiba yanguuuuu
Kaniondoleaa tabuu zanguuuuu
Upendo wakee waajabu kwanguuuu
Hauesabu mabaya yanguuuu
Roho hii iliyoumia utibikaaaa
Faraja wakati wa matatizooo x2
Haya ni maneno ya wimbo wake wa zamani mkongwe Nkone yaliyosababisha ukumbi mzima kusimama na kwenda kumtunza.
Kwa miaka kadha hajawahi kushika gita lakini siku ya tuzo za heshima alionyesha uwezo mkubwa. Blog hii inakutakia maisha marefu zaidi.
0 comments: