Kwa Wakristo Wote wa
Madhehebu Yote.
kutoka
Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Congo DRC, Burundi, South
Africa,
Canada, U.K, U.S.A
etc
1. Waandishi (Journalists)- 4 Posts
a. Awe Ameokoka (Born Again Christian)
b. Awe mwenye umri wa miaka 23- 45
c. Mwenye kuweza kuandika na kuongea Kiswahili vizuri
na Kiingereza
d. Mwenye Stashahada (Degree) ya Uandishi kutoka
Chuo kinachotambulika nchini au nje ya nchini
2. Sales and Marketing - 4 Posts
a. Awe Ameokoka (Born Again Christian)
b. Awe mwenye umri wa miaka 23- 45
c. Mwenye kuweza kuandika na kuongea Kiswahili vizuri
na Kiingereza
d. Mwenye Stashahada (Degree) au Diploma ya Biashara
na Masoko
3. Secretary and Administrator - 2 Posts
a. Awe Ameokoka (Born Again Christian)
b. Awe mwenye umri wa miaka 23- 45
c. Mwenye kuweza kuandika na kuongea Kiswahili vizuri
na Kiingereza
d. Mwenye Diploma au Cheti cha Secretarial Katibu
Muhtasi
4. Sales Representative - 10 Posts (Inside and outside
Tanzania)
Tanzania
Kenya
Uganda
Rwanda
Congo DRC
Burundi
South Africa
Canada
U.K
U.S.A etc
a. Awe Ameokoka (Born Again Christian)
b. Awe mwenye umri wa miaka 23- 45
c. Mwenye kuweza kuandika na kuongea Kiswahili vizuri
na Kiingereza
d. Mwenye Degree au Diploma Biashara na Masoko
5. Distributor - 1 Post
a. Awe Ameokoka (Born Again Christian)
b. Awe mwenye umri wa miaka 23- 45
c. Mwenye uzoefu wa kutosha unaozidi Miaka 2
6. Subscriber Officer - 15 Posts
a. Awe Ameokoka (Born Again Christian)
b. Awe mwenye umri wa miaka 23- 45
c. Mwenye kuweza kuandika na kuongea Kiswahili vizuri
na Kiingereza
7. Volunteers - 8 Posts (Inside and Outside Tanzania)
a. Awe Ameokoka (Born Again Christian)
b. Awe mwenye umri wa miaka 23- 45
c. Mwenye kuweza kuandika na kuongea Kiswahili vizuri
na Kiingereza
Tuma barua pepe ambatanisha CV na Nakala ya Vyeti vyako na
tuma kwenye barua pepe nicekennedy@gmail.com
Au fika katika ofisi zetu
AG PRESS HOUSE
Mbezi Beach Makonde Junction
Near Siloam Church
Kwa maelezo zaidi piga namba +255 768 444 555
My Heart took
delight in all my work... Ecclesiastes 2:4
0 comments: