Mwezi wa Tatu tarehe 15 Deitrick Haddon aliweka wazi katika ukurasa wake wa Facebook amemaliza kurecord wimbo wake wa kwanza kwa mwaka 2013.Nasiku iliyofata aliutambulisha kwenye vituo vya redio.
Hii ni picha aliyo post March 15 alipo maliza kurecord studio.Kwa mara ya kwanza siku ya jana Atlanta waliweza kushuudia akiimba live the new song
0 comments: