Kupitia Kundi la Glorious Worship time ambalo kwa sasa lipo kambini kujifua kwajili ya nyimbo za Pasaka,wapo na muimbaji Lina Sanga ambaye yuko katika muonekano mzuri tofauti na watu walivyo mzoea.Lina Sanga katika maandalizi ya Glorious ameweza kuweka vocal zake za nguvu katika albam ya tenzi za rohoni.Sikiliza matangazo Clouds Fm uweze kujipatia kopi yako mtu wangu wa karibu.
Katika mazungumzo yangu na Lina Sanga anasema ipo siku moja ataachana na miziki ya duniani kwani bado maisha yake yana muitaji Mungu zaidi.
No comment
0 comments: