Niheshima ya juu niliyo pewa na mr and mrs John Lisu kunipa dakika 10 kuona mapacha watatu na kuzungumza nao.Hivi karibuni mke wa muimbaji maarufu John Lisu alijifungua mapacha watatu katika
hospital ya Muhimbili .....Mda wangu,unataka kujua mengi na taarifa zaidi ungana nasi J/pili hii kwenye Chomoza ya Clouds TV kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa moja kamili na marudio J/tatu saa tano kamili asubuhi.
Zifatazo picha ni kiwa nyumbani kwa John Lisu.
0 comments: