Monday, October 27, 2014

ROSE MUHANDO KUSHIRIKISHWA KWENYE KOLABO NA HUYU MUIMBAJI WA KENYA.

By Jimmy  |  9:11 AM No comments

Gospel Star Rose Muhando malikia wa muziki wa injili Tanzania  wiki tatu zilizopita alikua nchini Kenya kihuduma ambapo alipata wasaha mzuri kukutana na baadhi ya waimbaji nchini Kenya.
Moja kati ya muimbaji ambaye ni rafiki yake kwa muda
Maryanne Tutuma alipata bahati ya kufanya kolabo na Rose.
Maryanne na Rose Muhando. 

Maryanne ni muimbaji anayefanya vizuri kenya tofauti na hapa nyumbani Tanzania,ni muimbaji aliyepata airtime nzuri kwenye vituo vya kidini Kenya.Ukiacha hilo Maryanne Tutuma ana ufahamu vizuri muziki wa injili wa Tanzania hivyo kupitia Rose Muhando anaamini kolabo hilo litakua la kuotea mbali alisikika akisema Maryanne.
 Maryanne amekua akifanya nyimbo nyingi za kikabila ila kwa sasa wamefanya kolabo na Rose ikiwa katika lugha ya kiswahili.....endelea kufatilia Unclejimmytemu.com itakujuza mengi baada ya wimbo huo kutoka.

Jimmy Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

Related Posts

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By Bloggertheme9