Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akikata utepe wakati
akizindua rasmi albam ya Rose Muhando mwimbaji wa muziki wa injili
inyoitwa Shikilia Pindo la Yesu katika onesho kubwa la uzinduzi
lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
Maelefu ya washabiki wa muziki wa injili, ambapo waimbaji
mbalimbali wameshiriki katika uzindzi huo wakiwemo Ephraim Sekereti
Kutoka Zambia, Sara K. kutoka Kenya , Upendo Kilahiro, Upendo Nkone John
Lisu na wengine wengi, Katika uzinduzi huo pia maaskofu na wachungaji
kutoka makanisa mbalimbali wamehudhuria, Katika anayeshirikiana na Mh.
Ffredrick Sumaye ni Alex Msama Mkurugenzi wa kampuni ya Msana Promotion
iliyoandaa uzinduzi huo na kushoto ni Mwimbaji Rose Muhando mwenyewe.
Kwa mara ya kwanza Rose Muhando amweka historia kwa kuimba LIVE
Picha zote na Bukuku.
0 comments: