Pastor Emmanuel Myamba muigizaji maarufu Tanzania amefunga ndoa na mke "Praxceda" visiwani Zanzibar na kuweka historia tena kwa muigizaji aliyefanya harusi iliyokwenda sawa
na hadhi yake.Kwa mujibu wa ripota wangu aliyekua kwenye eneo la tukio.....ameijuza unclejimmytemu.com harusi hiyo itakua miongoni mwa harusi zitakazo weka historia Visiwani Zanzibara kutokana na zawadi waliyopewa Pastor Myamba na mkewe ikiwemo gari jipya pamoja na pesa taslimu milioni 250.
Zifatazo picha za tukio hilo
0 comments: