Mh.January Makamba akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa COSOTA,Doreen Sinare
Naibu waziri wa Mawasiliano Mh January Makamba,akisalimiana na mzee Makassy.
Mh.January Makamba akizungumaz na wadau wa Muziki wa Injili Tanzania Hoteli ya Wanyama Sinza.
Rais wa shirikisho la Muziki wa Injili Tanzania (TAF) Ado Novemba kushoto akizungumza na wadau wa muziki wa Injli Tanzania.
Wadau mbalimbali wa Muziki wa Injili wakifatilia mkutano.
John Shaban katibu wa shirikisho la Muziki wa Injili akieleza jambo.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki Tanzania Bwana Kitime akisema jambo.
Balozi mstaafu Profesa Coster Mahalu akizungumza na wadau wa muziki wa Injili.Kulia ni Mkurugenzi wa kwaya ya Revival Choir Kinondoni Dr.Jotham Mackenzie.
0 comments: