Tuesday, April 1, 2014

WATOTO ZAIDI YA 80 WAWEKWA WAKFU KANISANI CCC KARIAKOO ZANZIBAR

By ANGELA PHOTOS  |  6:31 PM No comments

Kanisa la CCC Kariakoo Zanzibar limepokea watoto zaidi ya 80 ambao waliletwa kanisani.Ibada ya kuwapokea iliongozwa na Askofu wa makanisa ya TAG Askofu Dickson Kaganga.Kabla ya watoto kupokelewa ilitanguliwa  na Ibada ya sifa na maombezi


kwa taarifa zaidi
www.tag-zicc.com

ASKOFU DICKSON KAGANGA AKIMWEKA WAKFU MTOTO KANISANI CCC ZANZIBAR

ASKOFU DICKSON KAGANGA 

ASKOFU DICKSON KAGANGA AKISAIDIWA NA MAMA ESTER KAGANGA WAKATI WA HUDUMA WA KUWEKA WAKFU WATOTO

Author: ANGELA PHOTOS

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP