Tuesday, April 1, 2014

SOMA WALIODANGANYA WATU LEO KWENYE SIKUKUU YA WAJINGA DUNIANI.

By Jimmy  |  4:17 PM No comments




 Huyu ni Issa Michuzi mwandishi wa habari wa Ikulu na mwenye blog ya michuziblog

 Huyu ni director wa Video aliye danganywa na wahumini wa kanisani kwao

NAFASI ZA KAZI: VIJANA WAWILI WANAHITAJIKA HARAKA
Posted by GLOBAL on April 1, 2014 at 1:33pm 
 
Wanatakiwa vijana wawili kwa ajili ya kusambaza magazeti kwa kutumia pikipiki. Vijana hawa wanatakiwa haraka.
Sifa:

1.Awe na uwezo wa kuendesha pikipiki na ni sharti awe na leseni.

2.Awe anajua hesabu,kusoma na kuandika vizuri.

3.Awe anafahamu vizuri maeneo yote ya jiji la Dar es salaam.

4.Mwaminifu,Anayejituma awe na wadhamini wawili.

5.Asiwe anakunywa pombe na awe anaishi DSM.

Sifa za ziada:Kama ana uzoefu wa biashara ya kuuza na kusambaza magazeti atapewa kipaumbele.

Maombi yaletwe kwa mkono kwa kutumia anuani ifuatayo:
Meneja…
GLOBAL PUBLISHERS WAO NDIO WALITISHA KWA UONGO.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP