Pastor Sam akifanya kweli mazoezini
Usiku wa jana nilipata nafasi ya kuwepo kwenye mazoezi ya The next level team kujionea mazoezi yana kwendaje...asikuambie mtu hawa jamaa wamejipanga vizuri sana.Nikiongea na mchungaji Sammy Rodin
amenithibitishia mazoezi pamoja na waimbaji wako vizuri hivyo wanasubiri siku ya tukio kufanya kweli.Don't mis mdau wangu J/pili hii kuanzia saa nane mchana.
amenithibitishia mazoezi pamoja na waimbaji wako vizuri hivyo wanasubiri siku ya tukio kufanya kweli.Don't mis mdau wangu J/pili hii kuanzia saa nane mchana.
0 comments: