Friday, April 4, 2014

HUYU DADA USIOMBE KUKUTANA NAYE.

By Jimmy  |  3:11 PM No comments

Anafahamika kama Dada Magreth Kamugisha umbo lake na muonekano wake hafanani na vile vinavyotoka kwenye kinywa chake pale anapo shika
mic na kuanza kuongea au kuhubiri.Kwa mara ya kwanza nilimuona Uinjilisti Kijitonyama akiwa ana hubiri juu ya SHUKRANI KWA MUNGU.Ni dada mwenye historia ndefu katika maisha yake naya kushangaza,Mungu amejaza neno ndani yake na wito mkubwa katika madhabau.Ni dada aliyejitoa maisha yake kwaajili ya kupeleka injili kusiko fikiwa na watu.....ni dada msomi na mwenye huwezo mzuri lakini nusu ya mshahara wake unatumika vijiji kusiko fikika injili yoyote.
Ukipata muda wa kumuona ni mpole na mwenye umbo dogo,uso wa tabasamu zuri lakini takribani mikoa 20 ya Tanzania inamfahamu sanaa wito alionao katika kumtumikia Mungu.Mdau wangu hizo ni picha zaibada ya J/pili iliyopita alipokua akihudumu.Soon full interview inakuja na www.unclejimmytemu.blogspot.com
Magreth Kamugisha akihubiri.

 Twende sawaaaa!!

Kitu shangweee za wakati wa Sifa na Uinjilisti Kijitonyama

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP