Katika maisha kila mtu ana historia ya maisha yake,taabu na shida unazo pitia ni siri yako.John Lisu ni muimbaji wa muziki wa injili ambaye ana historia kubwa hajawahi kuisema sehemu yoyote lakini kupitia kipindi cha GT cha Clouds fm kinacho ongozwa na Pastor Harris Kapiga,John Lisu ameeleza wazi jinsi alivyopitia kwenye msoto mkali wa maisha ulio mpelekea kulala chini
kwenye boksi miezi sita akiwa na kanga moja na kijiko kimoja .Wakati huo maisha yalikua magumu hadi miambili alikua anaomba.Nisikuchoshe sana mdau wangu msikilize John Lisu hapo Chini.
0 comments: