Asikuambie mtu Emmy Kosgei azidi kuduwaa baada ya kufanyiwa suprprise na mume wake Apostle Anselm Madubuko wakiwa bado wana kula raha za honey moon.Siku ya jana amekabidhiwa gari aina ya BMW ikiwa na namba zenye jina 'Jemutai'.kupitia page yake facebook watu wamekua wakimpa hongera na kumwambia amewini maisha mdau wangu.
0 comments: