Wiki iliyopita muimbaji wa muziki wa njili Neema Gasper alivishukuru vyombo vya habari kwa support kubwa waliyo mpatia katika kutangaza kazi yake ya muziki wa injili.Nako nchini Kenya muimbaji wa muziki wa Gospel Gloria Muliro amefanya shukrani kwa kwa vyombo vya habari nchini Kenya kwa kazi kubwa walioifanya katika kumtangaza kupitia uimbaji wake na kumfanya kutengeneza pesa ndefu katika maisha yake.
Ni mara chache waimbaji wa muziki wa injili hukumbuka mchango wa vyombo vya habari vinavyo toa supporting kubwa pale wanapoa anza kazi yao wakiwa sifuri kuelekea kwenye moja tatu sita na kuendelea.Tizama picha chache ya kile kilichojiri
Gloria Muliro akisema jambo juu ya wadau na watangazaji mbalimbali walipo fika
DJ Mo follows
DJ Sadic na Gloria.
DJ Moz getting msosii!
Mzazi' Willy M Tuva
Jalang'o with Gloria
0 comments: