Warembo wa nguvu.Kushoto Koska,Jenny,Dorice.
Katika kuleta mapinduzi mapya katika kiwanda cha video za Gospel Eangle wanaonyesha uwezo mkali katika kuleta twasira nzuri katika video zetu za mziki wa injili.Kama kawaida muongozaji wa kiwanda hiki Debro Gabriel yuko location na video mpya ya kwake Levis inayo kwenda kwa jina la SAALA NAGAI ikiwa katika lugha ya (Lingala).Kwa mujibu wa director wa video hii mr Debro ameijuza blog soon video hii itakujia kupitia kipindi cha Chomoza ya Clouds tv.
Wamenogaa wame tokelezeaa!!
Papaa Levis ngoy kitenge akienda sawa.Big up my brother.
Hapana chezea Eagle view production.
0 comments: