Kulia ni Manager wa Rose Muhando Mr Nathan,director Mbangwa Hassan na Rose muhando.
Location Kenya rift Valley.
Nikiwa nafanya maojiano yangu leo na muongozaji wa video hii Mr Mbangwa kupitia Chomoza ya Clouds tv amesema kua hii ni video ya tofauti na video zote alizowahi kufanya Rose muhando.Viko vitu vingi vimeusika katika utengenezaji ukiacha madhari ya sehemu mbalimbali walizo kwenda kwa baadhi ya nchi.Kwa taarifa kamili pamoja na behind the scene tukutane kwenye Chomoza ya Cloudstv J/pili saa 12:00 hadi saa 1:00 usiku mdau wangu.
0 comments: