Siku ya jana nikiwa najianda kutoka mjengoji Clouds tv wachekeshaji wa wili wa nguvu Kiwewe pamoja na Matumaini walinipa wimbo wao mpya (Nimepona) wakiwa wameshirikiana na muimbaji Jane Misso.Kwa mujibu wa Matumani anasema huu ni wimbo alio hamua kumshukuru Mungu kumponya baada ya kuumwa kwa muda mrefu.Soon wimbo huu utausikiliza hapa.
Ushahidi wa Cd huu hapa mdau wangu.
0 comments: