Hili ni eneo la kariako round ya a-bout karibu na shule ya Uhuru.Sehemu ambayo serikali imeamua kupajenga upya kwa kuweka nakishinakishi za urembo wa vitu mbalimbali.Pembeni yetu ni boti iliyo wekwa kama kivutio cha kariako.
Hapana chezeaa!!
Kijana wangu akifanya kweli mdau wangu.
Kama kawa hizi ni Link za Chomoza ya Clouds tv J/pili hii Saa 12:00 hadi Saa 1:00 usiku.Usipange kukosa mdau wangu.
0 comments: