Tuesday, August 20, 2013

FRIENDS ON FRIDAY MARIDADI.

By Jimmy  |  2:27 PM No comments

Wigo Umetanuliwa, Friends On Friday Kwa Hisani ya Praise Power Radio, Kwa Hisani Ya WAPO Radio, Christian Connects, Gospel Hits Sibuka Tv, Clouds Fm Chini ya GT Harris Kapiga, Chomoza Clouds Tv ya Clouds Tv....This Time FOF Maridadi......Come and See, Christian Designers....waki design Nguo za Kuhubiria Vijijini, Nguo za Ufukweni, Nguo Za Kanisa, Nguo za Kwenye Matamasha Ya Injili, Nguo Za Kwenda Kushuhudia, Nguo za Mission, Casual wear, Office Wear.

Come and Test a new Segment Designed By Miriam Lukindo Mauki kwa ajili ya New Albams, New Songs, New Things In Town....Inakuwa Covered na Clouds Radio, Covered na Sibuka Tv, Covered na Chomoza Ya Clouds.
The Best Designers...Edna Silver, Alice Mafuwe, Martha Silver and Goig Misana Manyama.

Huku tukitazama Mavazi, huku tukipata Muziki Live toka Kwa Jesica Musica....na Wengine Kibao...On the same ukipata Chakula Cha Jioni.

Presentation Kutoka Kwa Shirika la Afya Duniani....Proscovier Zacchaues akiongea "Namna ya Kupunguza Uzito pasipo Kwenda Gym.




Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP