Hii ni behind the scene ya wimbo unaitwa Nakushukuru Mungu wa kwake Henock Mwamba ukiwa katika hatua za mwanzo za shooting inayo fanyika mbezibeach mdau wangu.
Asante Director wangu wa nguvu Debro Gabriel.
Mwendo wa kazi hapana chezea!
Kama anavyo honekana Henock Mwamba kwenye Camer 5D.
Vijana wa nguvu location.
0 comments: