Kamati ya maandalizi ikiteta njee ya ukumbi kuweka mambo sawa.
Kushoto Pastor John Said na mgeni rasmi Mama Lilian Mboye
Mahesabu yakiendelea.
Rachel Scharp na Nice Noel Tenga.
Mch Pastor John Said na mgeni rasmi Lilian Mboye.
Watoto wa Mungu wakifanya kweli jukwaani.
Hawa ndiyo watoto wa kituo cha Hocet.
Mgeni rasmi Mama Lilian Mboye akisema jambo.
Umakini huu hata sijui tulikua tunasikiliza nini.Blog inawashukuru wale wote ambao walishirikiana nasi siku ya J/pili katika tamsha la kuchangia watoto wa kituo cha Hocet...Mungu awabariki sana sana ilikua nzuri sana na watoto walifurahi sana.
0 comments: