MC wawili,kushoto Harris Kapiga na Sam Sasali the blogger
Siku ya jana katika kanisa la CCT lililopo chuo kikuu cha Daresalaam, The Voice walikuwa wakirekodi Live DVD ambapo katika DVD hiyo walikua wakimshukuru Mungu kwa kutimiza miaka 19 katika kazi yao.
Katika rekodi hiyo waliweza kusindikizwa na waimbaji mbalimbali akiwemo Bomby Johnson,Angel Magoti,John Lisu na Melisa John.Kama kawaida Bomby ndie alikuwa mtu wa kwanza kufungua show hiyo ambapo alifanya vizuri sana na kuonyesha uwezo mkubwa alionao kwa kupiga kitu cha "NINAOGELEA".
Ilipofika wakati wa The Voice kuanza rasmi recording ya DVD ilikua ni makelele mengi na shangwe. Jambo ambalo lilinifurahisha siku ya jana ni muonekano wa The Voice kuanzia mavazi, stage na performance.Walifanya poa sana na kuonyesha ni kiasi gani walijiandaa kwa siku hiyo.Uko ubunifu mwingi waliouonyesha hasa walipokua wakiwakumbusha watu walipotoka mpaka walipofika sasa.Kwa hisani ya Chomoza twende sawa na tukio zima.
Music Director Samwel Yona
Tuko vizuri mwendo kama kawa
Picha tisa za muonekano mpya wa The Voice wakiwa katika suti aina ya 'single button' walipoanza kurekodi Live DVD siku ya Jana.
Huyu binti ni hatari weka mbali na vocal alizopatiwa na Mungu
King Chavala akila raha siku ya jana.

Bomby akifanya kweli

Watu happyyyyyyyyyyyyyyyyyy!

0 comments: