Filamu inaitwa Nguvu ya Imani yenye
kufundisha, kuadibisha, kuelimisha na kuburudisha jamii. Waandaaji ni
Gilgal Entertainment. Wasambaji ni Steps Entertainment. Waliocheza
katika filamu hii ni Juliet Samsaon (Kemy), Simon Mwapagati (Rado),
Jackson Kabigiri, Hadija Mohamedn (B Fetty),James Temu (Jimmy Temu) na wengine wengi — FILAMU
YA NGUVU YA IMANI ITAKUWA SOKONI 27.04.2013.
0 comments: