Muimbaji kutoka Afrika Kusini Sipho Makhabane katikati akiwa na mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama alipo wasili uwanja wa ndege jana tayari kwa tamasha la pasaka kesho
Kushoto ni Sipho Makhabane kutoka Afrika kusini,Hudson Kamoga (mkalimani wake) na muimbaji Upendo Kilahiro
Sipho Makhabane akiongea na vyombo vya habari.
Muimbaji Ephraim Sekeleti kutoka Zambia akitoa maelezo kwa vyombo vya habari siku ya jana
Ambassador of Christ nao wapo kwenye Tamsha la pasaka mwaka huu.Hapa wakiongea na wandishi wa habari
0 comments: