Saturday, March 30, 2013

ALICHO ANDIKA MUIMBAJI JOHN SHABANI KUHUSU CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA PAMOJA NA ORODHA YA WANACHAMA

By Jimmy  |  9:23 AM No comments

 
John Shabani.
  
TANGAZO KUTOKA CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA PAMOJA NA ORODHA YA WANACHAMA 
Je wewe ni mwanachama , Je umejaza fomu ya uanachama na jina lako hujaliona?
Wasiliana na uongozi wa chama. Pia wana chama ambao hamjaleta picha zenu mnaombwa kufanya hivyo. Pia mnakumbushwa kulipa ada ya mwaka 2013
Ewe mwimbaji, mwanamuziki, mtengenezaji, msambazaji, mtangazaji wa redio ya kikristo na mpenzi wa nyimbo za injili, hakikisha umejiunga na chama cha muziki wa injili Tanzania (Tanzania Gospel Music Association), jiunge sasa na chama hiki kilichasajiliwa kisheria, ili jina lako liwemo katika majina ya wanachama wanaotambiliwa na basata (Baraza la sanaa la taifa) na uweze kunufaika na fursa mbalimbali.
Orodha ya wanacha wa chama cha muziki wa injili Tanzania – chamuita:


1. Addo november
2. John Shabani
3. Stella Joel
4. Upendo Kilahiro
5. David Robert
6. Mh. Martha Mlata
7. Mch. Malumbu
8. Bahati Bukuki
9. George Mpella
10. Neema Mwaipopo
11. Christiana Matai
12. John Komanya
13. Jesca Honore
14. Peter James
15. Emmanuel Mathis
16. Maklina Lameck
17. Jonas M. Komba
18. Miria P. Shoka
19. Adrofina D. Kubeba
20. Tuamain D. Michel
21. Neema Lymo
22. Rose Kimaro
23. Sara obedi
24. Magreth Sembuche
25. Leah Mwankondile
26. Simon Longolo
27. Wytness
28. Baraka Mwaijande
29. Danici Mjande
30. Neema Madalengo
31. Abdiel Elisha
32. Alfan Tewele
33. Mahona T. Mahona
34. Hansto Mwangos
35. Michael Ngoma
36. Peter Lameck
37. Baraka Watson
38. Frida Mwamlima
39. Patiance William
40. Alfa J. Minakibete
41. Judith Amisi
42. Elizabeth Kilili
43. Bupe mizeck
44. Evelyn Kabwelile
45. Gabriel Omary
46. Hilda Tesha
47. Upendo Kilahila
48. Anania Mwasomola
49. Jerry Mtumishi
50. Maumbile Ali
51. Alex Phanuel
52. Christina Riginado
53. Gideon Mtalemwa
54. David Mwaijojela
55. Emmy Mwaijojela
56. Elisha Masaku
57. Musa Mpayo
58. Bahati Yona
59. Triphina Joseph
60. Abel Orgenes
61. Cosmas Chidumule
62. Lucy Wilson
63. Beaut Wilson
64. Kezia Joseph
65. Mzee Makasy
66. Douglas pius
67. Irene Komu
68. Orida Njole
69. Philis Mshama
70. Meshack Mwayeka
71. Joneth Mboma
72. Veronica Mkonga
73. Teonas Chiwinga
74. David Martin
75. Lugano Mwiganege
76. Upendo Sapali
77. Grace Mwakalongoti
78. Ombeni Msuya
79. Peter Mabeso
80. Josephay Mwombeki
81. Yelonimo Mwalo
82. Ency Mwalukasa


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP