Baada ya kupikwa na kuakikishwa unakua katika viwango vyakukufikia wewe mtu wangu wa karibu,Hii ndiyo nyimbo iliyowakutanisha waimbaji wote wa gospel Tanzania, nakufanya wimbo mmoja wakuombea amani nchi yetu ya Tanzania.Collabo hili lililofanywa na mkongwe katika tasnia ya mziki wa injili "David Robert" na kuwakutanisha Rose Muhando,Flora Mbasha,Martha Mwaipaja,Upendo Kilahilo,Bahati Bukuku,Christina Shusho,Masanja Mkandamizaji,Jennifer Mgendi na Upendo Nkone.
0 comments: