Mzee wa umenifanya ibada (kulia) Paul Clement akiwa na mzeeyaa wa Morogoro Victor Mboya.
Katika Tour Ya Kwanza ya Amplified Chomoza na Unplug kutoka
Clouds Tv kulikuwa na "Tulikotoka" ambapo nyimbo za zamani chini ya
Kundi la Glorious zilipigwa na kuandaliwa vizuri kwa ajili ya Kuelekea Msimu wa
Pasaka na Events za Pasaka.
Kama Ilivyo ada Usiku wa Jana, Tour Ya Pili imekamilika ambapo
wanamuziki wa Arusha na Dar wamefanya Standard Gospel Music Performance na
Kukamilisha N'ngwe ya pili ya Tour Ya Pasaka ambapo Usiku wa Jana Ulikuwa wa
aina yake mwanzo Mwisho.
Chomoza Tv show Kutoka Clouds Tv ni Kipindi Kipywa Kabisa Cha
Gospel, ambapo Blogger Wawili Sam Sasali na James Team a.k.a Uncle Jimmy ndio
wameshikiria Usukani wa Kipindi, Katika Kipindi Cha Pasaka Vipindi hivi
vitaanza Kuruka Hewani. Stay Tune na Mabadiliko Makubwa ya Tv Show Za Kikristo.
The Blogger Sam akiwa na mtaalamu Salimu a.k.a vidole vya kazi.
Mzee wa kambi popote Victor akiwa na Kisonga na pembeni ni Lina sanga wakienda sawa.
Paul Clement alifanya kweli siku ya jana.
Lina Sanga.Yeye alikua mmoja wa waimbaji katika Tenzi hizo mtu wangu wa karibu.Stay tune nakulete picha zake zaidi.
0 comments: