Showing posts with label James Temu news 8:00 Am. Show all posts
Showing posts with label James Temu news 8:00 Am. Show all posts

Wednesday, July 2, 2014

KINGINE KIPYA KUTOKA CCC UPANGA PAMOJA NA PICHA 20 ZA MAZOEZI



Friday, June 20, 2014

MUIMBAJI PEKE KUTOKA TANZANIA AINGIA KWENYE TUZO ZA "BEAT AWARDS'

 Mwanamuziki wa Injili Sarah Shilla Ndossi amezungumza na Chomoza za Clouds Tv na unclejimmytemu.com  na kuelezakua ameingia katika tuzo zenye jina la "BEATS Awards" zinatotazamia kumalizika mwishoni mwa mwezi huu.

Monday, May 12, 2014

KUTOKA MAFIA KANISA LA EAGT LACHOMWA MOTO.


Wakati tukio la Bomu kulipuka ndani ya kanisa la Kiinjili kilutheri Tanzania,(KKKT) Usharika wa Imani Makongoro,jijini Mwanza likiwa halijasahaulika akilini mwa watu,Kanisa moja jingine la EAGT wilayani Mafia mkoani Pwani limeteketezwa kwa Moto.

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP