Showing posts with label James Temu news 12:55 Pm. Show all posts
Showing posts with label James Temu news 12:55 Pm. Show all posts
Tuesday, June 10, 2014
Saturday, March 29, 2014
KUTOKA NCHI YA CANADA HUYU NDIYE MUIMBAJI WA TANZANIA ANAYEFANYA KWELI.
Milca kakete
Milca kakete hakumbuki vizuri ni umri gani alioanza nao
kuimba maana alikuwa mdogo sana pengine kati ya miaka 5. Aliongoza baadhi ya nyimbo katika kwaya iliyojulikana
miaka ya nyuma Tabora ambapo wimbo kama “yuko wapi aliyezaliwa” wengi wanajua
wimbo ila hawajui ni Milca aliyeimbisha wimbo ule...Utukufu kwa Mungu.
Mnamo mwaka 1999 na 2000 akiwa kiongozi wa sifa katika
Kanisa la Pentecoste Kurasini alipelekwa na Kanisa kuhudhuria semina ya
viongozi wa sifa nchini Kenya.Mwaka 2003 akiwa amehamia mjini Arusha,Mungu
akaongea naye kutoa album ya kuabudu inayokwenda kwa jina la “Yesu niko mbele
zako” na nyimbo nyingine ambazo zilipendwa
kama “Natamani kufanana nawe” “Nifinyange” na “Heri ni jina”
Kwa sasa Milca makazi yake ni Canada ambako bado anafanya
Monday, March 24, 2014
Friday, November 22, 2013
E-mail Newsletter
Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.
Recent Articles
Popular Posts
-
BONY MWAITEGE,ROSE MUHANDO,CHRISTINA SHUSHO,BAHATI BUKUKU,NEEMA MUSHI-NDANI YA TUZO ZA GROOVE AWARD.Mwaka Jana katika Mashindano ya Tuzo za 'GROOVE AWARD' kwa wanamuziki Kutoka Tanzania mshindi aliibuka Christina Shusho na kutwa...
-
Baada ya kuandika (msg) siku chache katika Facebook kupitia Wall yake sasa albamu yake inapatikana madukani kote,nakuamua kuachia Record ya...
-
MWAKA 1988, RUNGWE, MBEYA “Lusako amka...Lusako amka, niliisikia sauti ya baba yangu, mzee John Bukuku akiniamsha asubuhi sana t...
-
Nimpole katika uso lakini ni mkali wa Sauti ya besi,Si mwingine ni Bibie Bahati Bukuku ambe leo tumepiga story kuhusu mafanikio yake,wapi ...
-
Kati Ya Projects ambazo pia zimenirudisha Mapema Mtaani
-
Sijui kama unajua Hotel ya Kifahari na yenye vivutio vikubwa Duniani iko Tanzania.Leo majira ya saa sita mchana nilipata bahati ya kukutana...
-
hot, hotter, hottest. aiseee huyu mtoto hi ma pipo kama nilivyowaahidi nitawaletea updates sasa Lulu(hot Lulu)yupo kituoni police n...




