Showing posts with label James Temu news 10:32 Am. Show all posts
Showing posts with label James Temu news 10:32 Am. Show all posts

Saturday, June 14, 2014

VIDEO,PICHA-ZA MATUKIO YA MKESHA WA AFLEWO SIKU YA JANA MDAU.

Logo ikiwakilisha
 Event kubwa ya aina yake AFLEWO (Africa Lets Worship) inayofanyika kwa mwaka mara moja,usiku wa jana katika kanisa la  City Christian Center Upanga(CCC) karibu na Chuo cha Mzumbe, imekuwa ya aina yake baada ya watu wengi kumiminika kutoka kila kona ya jiji la dar es salaam.
Mkesha huo wa kusifu,kuabudu na Maombi umekua baraka kubwa kwakila aliyefika siku

Friday, May 30, 2014

JICHO LA BLOG na ABEDDY NGOSSO-MIMI SIYAWEZI

Produz Kenya ( GAMBA PRODUCTIONS)

Monday, September 2, 2013

WAKAZI WA MWANZA WAJITOKEZA KWA WINGI KUPOKEA MWILI WA ASKOFU DR.MOSES KULOLA.

 
Pamoja na rasha rasha za mvua na radi za hapa na pale maelefu ya wakazi wa Mwanza wamejitokeza kwa ajili ya kupkea Mwili wa askofu mkuu wa kanisa la EAGT  Dr.Moses Kulola umewasili mchana wa siku ya jana katika jiji la Mwanza na kupokewa na maelfu ya wakazi wa mji huu wakiongozwa na mkuu wa mkoa huo injinia Evarist Ndikiro pamoja na viongozi wa makanisa yote ya jijini Mwanza.

Vilio vya uchungu sana vikasikika toka kwa kila mmoja aliyekuwepo uwanjani hapo huku kila mtu akitafakari moyoni mwake kwa namna alivyokua akiguswa na mahubiri na mafundisho toka kwa Askofu Moses Kulola shujaa wa injili nchini Tanzania

 







Source Blogger Mjap Inc.


E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP