Ni album yake ya pili katika kiwanda cha muziki wa Gospel Tanzania....anajulikana kama Dr.Isaya Msangi.Kwa mara ya kwanza kupitia Unclejimmytemu.com unatazama video yake mpya
(SALUTI KWA BWANA) ikiwa audio imefanywa na Ayub wa magic studio,Video imefanywa na ALLAN CHISUNGA wa Holy production...ni ujio mpya baada ya kuachia Shetani Imekula Kwako..ambayo kwa kiasi flani ilimtambulisha japo si sana.Album hii soon itapatikana mtaani ikiwa na nyimbo saba zenye ubora.
Tazama video hiyo hapo chini kwa hisani ya Unclejimmytemu.com

0 comments: