Edson Mwasambwite baada ya kelee nyingi kutoka kwa mashabiki wake kuhusiana na wimbo wake wa kwanza (Ni kwa neema na rehema) aliofanya shooting mkoani Mbeya kuonekana hauna ubora mzuri ukizingatia location pamoja na camer waliyotumia.Edson Mwasambwite ameamua kuutengeneza wimbo huo upya
na kuakikisha anazima kelele za mashabiki wake.
Unclejimmytemu.com ilipata nafasi ya kutazama video ya wimbo huo ikiwa imechukuliwa shooting upya na kufanyiwa editing nzuri chini ya director David James ambaye amehusika katika uchukuaji wa video pamoja na editing.Umaarufu wa wimbo (Ni kwa neema na rehema) umeweza kumtangaza vizuri Edson Mwasambwite ambaye anakiri baadhi ya mafanikio madogo aliyopata yametokana na wimbo huo.
Nisikuchoshe kwa maneno mengi,kwa hiasani ya Unclejimmytemu.com chukua sekunde 39 kutazama kipande cha wimbo huo hapo chini.Na tarehe 2/11/2014 kwa mara ya kwanza utautazama vizuri kupitia CHOMOZA YA CLOUDS TV kuanzia saa kuminambili hadi saa moja kamili usiku.Enjoy!
0 comments: