Thursday, October 30, 2014

KAMA ULIPITWA NA EVENT YA AFLEWO 2014 KENYA,ZIPO PICHA 12 HAPA.

By Jimmy  |  10:11 AM No comments


Maelfu wamekusanyika pamoja kumuabudu Mungu katika event ya Aflewo 2014 iliyofanyika
nchini Kenya.Wakristo mbalimbali kutoka katika vitongoji mbalimbali vya nchi ya Kenya hukusanyika kwa pamoja wakimsifu Mungu,...huku uwakilishi wa nchi nyingine kama Rwanda,Tanzania ujumuika katika event hiyo.Tazama picha za tukio nzima kwa hisani ya Unclejimmytemu.com









Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP