Calvary G Band ina waimbaji 13
wakiwa chini ya kanisa la Calvary Church kinondoni dar es salaam.Leo kupitia
jicho la Uncle nakupa nafasi ya kusikiliza bonge moja la song lao (Anastahili
Sifa) ambao nathubutu kusema katika mwaka 2014 sidhani kama kunasebene nzuri
kama hili.
Wimbo:Anastahili Sifa,umefanywa na
Studio ya John Lisu (Real Production)
Producer:Masanja
Drums:Henoc Mwamba.
Bass Gita:Jeremia
Solo&Rhythm:Steven Malonga
Tumba:Dagarin
Keyboard:Producer Masanja
Chorus na Vocals:Debro
Gabriel,Dorice John,Lety Nyaso,Levi Ngoy
Rapers:Henoc Mwamba,Michael Ngoy na
Levis Ngoy.
Watunzi:Ni Levi Ngoy na Michael Ngoy
Wimbo huu umepigwa live mdau wangu,kwa hisani ya Unclejimmytemu.com enjoy nao hapo chini na weekend njema kwako.
0 comments: