Friday, October 17, 2014

Celebrated Worship Singer William McDowell,Kufanya Live Concert In Kenya.

By Jimmy  |  8:44 PM No comments

Kikundi cha Kenya arising nchini Kenya kimeanza mchakato wa kuandaa concert itakayomshirikisha mwimbaji wa nyimbo za injini William Mcdowell, hii itakuwa ni live concert.Mwimbaji huyu William Mcdowell anafahamika zaidi kwa nyimbo yake ya ‘ I give myself away’.Pamoja na mwimbaji huyu
kutakuwa na waimbaji kadhaa kutoka Kenya ambao ni kambua, Eunice Njeri, Kaberi, Alice Kamande, Kanjili Mbugua, Christian Ogutha and Band, DJ Moz, DJ Celeb, DJ Sandi, DJ Soxxy, DJ Sadic.

Tazama Video ya wimbo wake maarufu duniani

Jimmy Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

Related Posts

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By Bloggertheme9