Huu ni mtoko maalumu kwa wanandoa na wale wachumba wanao tambulika rasmi ambao wako njiani kufunga ndoa...hupata nafasi katika event hii inayo andaliwa na Kanisa la VCCT chini ya Dr Huruma Nkone na team yake.Mtoko huu ambao watu ulipuka pamba nzuri na kila utakaye muona yupo ng'aring'ari.
Kama kawaida event hii hutambulika kwa jina la COUPLES BANQUET ambapo Couples hupata
nafasi ya kujifunza,pili kuwepo na maswali mbalimbali yanayo ambatana na zawadi,burudani ya muziki wa live na chakula cha pamoja.Tazama picha chache za jinsi ilivyokua
Nasi tukifanya yetu kwa hisani ya Samilembe...much love kwao
0 comments: