ONE SPOT LIVE NA JOHN LISU (Siku ya J/tano)
-Kutana na John Lisu, anayetamba kwenye tasnia ya muziki wa Gospel Tanzania.
-Unapenda kujua kuhusu muziki wake, mafanikio yake au maisha yake pamoja na watoto 3 mapacha aliopewa na Mungu? Basi kutana naye On the Spot LIVE siku ya J/tano.
-Kumbuka ni j/tano ya wiki ijayo kuanzia saa 5-6 mchana katika page yetu ya facebook ya Chomoza ya Clouds TV, utauliza swali lako naye atakujibu LIVE kwenye comment yako.
SHARE na marafiki zako MDAU WANGU!

0 comments: