Kanjii Kambugua (katikati) Kutoka Kenya na E-Star wapo
ndani ya Bongo...Jumapili ndani ya Tshirt na Jeans watakua wakifanya live ndani ya national museum postar. ....Chukua time yako kusikiliza moja ya nyimbo yake
(MFALME MKUU) katika album yake yenye nyimbo 14 yenye jina la KANJII MBUGUA-RAUKA.Enjoy na weekend njema mdau wangu.
(MFALME MKUU) katika album yake yenye nyimbo 14 yenye jina la KANJII MBUGUA-RAUKA.Enjoy na weekend njema mdau wangu.
0 comments: