Thursday, July 24, 2014

VIDEO TEAASER YA KWAKE MIRIAM LUKINDO-NIPE KUKUFAHAMU.

By Jimmy  |  1:08 PM No comments

Wimbo unaitwa nipe kukufahamu umo kwenye album ya 777 2014 ni album mpya ya MIRIAM LUKINDO WA MAUKI.Kwa muda mrefu
amekua kimya akifanya matayarisho ya kazi yake na soon dvd zinatarajia kuwa tayari mwishoni mwa mwaka huu.Tegemea kutazama full video ya wimbo huu wiki ijayo kwenye chomoza ya Clouds TV...Kwa mujibu wa CO wa Kingdom Media bwana Alex ambaye ni video director amesema hii ni next level ya utayarishaji wa album hii,hivyo wadau na wapenzi wa Miriam Lukindo wakae mkao mzuri kusubiria ujio wa binti afrika Miriam Mauki.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP