Wanadada wa 3 wanaounda kundi la JAELA,leo kupitia account ya Instagram ya Elizabeth Baluah ameweka wazi juu
ya album yao mpya kuingia sokoni.Wanadada hawa ni maarufu sana kupitia event mbalimbali wanazo shiriki kama back vocal....miongoni mwa event walizo wahi kushiriki ni event za live recording ya John Lisu,Christina Shusho,Bomb Johnson,Paul Clement na nyingine nyingi.Kwa sasa JAELA wanakupa nafasi ya wewe kujipatia album yao mtaani inayokwenda kwa jina ANIPENDA.
0 comments: