Dhabihu za Sifa ni project ya live recording (DVD) iliyofanyika Rehoboth International Christian Center,kanisa linaloongozwa na mchungaji Sunday Matondo.Siku ya jana chini ya Music Producer&Sound engeering (Caleb Mwanjoka) wa
Tripple J recordings iliyopo Mbeya chini ya Pastor Dr Leonard Maboko wali akikisha live recording inatoka katika ubora unaotakiwa pamoja na viwango vya kisasa.
Safu nzima ya waimbaji iliongozwa na Rebecca Zakayo wa Sasali ambapo walianza saa kumi na moja jioni hadi saa tatu usiku....unaambiwa uwepo wa Mungu ulikuwa wa kutosha music ilikuwa standars na perfomance ilikuwa ya ukweli sana.
Unajua nini mdau wangu....MBEYA WAMECHORA MSTARI WA LIVE RECORDING KANDA YA KUSINI
Pastora Matthew Sasali akieleza jambo siku ya jana
0 comments: